![]() |
| hot, hotter, hottest. |
![]() |
| chezeyaaa hot lulu |
![]() |
| aiseee huyu mtoto |
hi ma pipo
kama nilivyowaahidi nitawaletea updates sasa Lulu(hot Lulu)yupo kituoni police
na mahututi kwani anamaumivu na majeraha mengi sana usoni,lulu kapasuliwa pia na Kanumba,hawa watu walikuwa wapenzi wa muda mrefu,chanzo ni simu jamani,kanumba aliona lulu anapigiwa simu za kuitwa sana kwenye madili,sasa jamaa(marehemu Kanumba)akashikwa wivu,duuu mapenzi ni hatarii.Chanzo:http://www.prettysintah.blogspot.com/



1 comment:
Ilikuwa kazi kwelikweli kukabidhiwa kulea binti huku upande wa pili unamchukua kimapenzi; na isitoshe simu ndio hizo kila kukicha binti anapigiwa! Oh, mapenz ni
hadithi tamu yenye machungu yake ktk nyakati fulani ktk mazingira fulani.
Post a Comment